Lugha Nyingine
Juhudi za uokoaji na misaada zaendelea katika Mkoa wa Guangxi wa China uliokumbwa na mafuriko (7)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 13, 2026
![]() |
| Watu wa kujitolea wakipakua vitu na vifaa vya msaada kwenye shirikisho la hisani, Nanning, Mkoa Unaojiendesha wa Kabila la Wazhuang wa Guangxi, kusini mwa China, Julai 12, 2026. (Xinhua/Lu Boan) |
NANNING - Mvua kubwa iliyosababishwa na Kimbunga Maysak, kimbunga cha 10 kwa mwaka huu imezikumba sehemu mbalimbali katika Mkoa Unaojiendesha wa Kabila la Wazhuang wa Guangxi kusini mwa China na kusababisha maafa mfululizo.
Vikosi mbalimbali vya kukabiliana na hali ya dharura vimeunganisha juhudi zao na kufanya kazi mbalimbali ikiwa ni pamoja na uokoaji na utoaji msaada, kuwapangisha makazi walioathiriwa, kutoa huduma za afya ya umma, kuzuia na kudhibiti maafa, na kutoa uhakikisho wa utoaji wa vitu na vifaa.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




