Lugha Nyingine
Mkutano na Maonyesho ya 14 ya Kimataifa ya Uhifadhi wa Nishati yafanyika Beijing, China (7)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 03, 2026
![]() |
| Watembeleaji wakifahamishwa kuhusu mpango wa utatuzi wa matatizo wa mazingira-yote uliotolewa na Kampuni ya CATL kwa mji wa kaboni-sifuri kwenye Mkutano na Maonyesho ya 14 ya Kimataifa ya Uhifadhi wa Nishati (ESIE) katika Kituo cha Maonyesho na Mikutano cha Kimataifa cha Mji Mkuu Beijing Aprili 2, 2026. (Xinhua/Yin Dongxun) |
Mkutano na Maonyesho ya 14 ya Kimataifa ya Uhifadhi wa Nishati (ESIE), yenye mabanda sita ya maonyesho yenye mada tofauti, yamekuwa yakifanyika mjini Beijing, China kuanzia Machi 31 hadi leo Ijumaa Aprili 3.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




