Mkutano na Maonyesho ya 14 ya Kimataifa ya Uhifadhi wa Nishati yafanyika Beijing, China (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 03, 2026
Mkutano na Maonyesho ya 14 ya Kimataifa ya Uhifadhi wa Nishati yafanyika Beijing, China
Watembeleaji wakifahamishwa kuhusu mpango wa bidhaa ya hidrojeni ya nishati ya kijani inayonyumbulika ya Kampuni ya Kundi la CRRC la China kwenye Maonyesho ya 14 ya Kimataifa ya Uhifadhi wa Nishati (ESIE) katika Kituo cha Maonyesho na Mikutano cha Kimataifa cha Mji Mkuu Beijing Aprili 2, 2026. (Xinhua/Yin Dongxun)

Mkutano na Maonyesho ya 14 ya Kimataifa ya Uhifadhi wa Nishati (ESIE), yenye mabanda sita ya maonyesho yenye mada tofauti, yamekuwa yakifanyika mjini Beijing, China kuanzia Machi 31 hadi leo Ijumaa Aprili 3.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha