Su Yiming anyakua Dhahabu katika fainali ya kuteleza kwenye mteremko ya Olimpiki

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 19, 2026
Su Yiming anyakua Dhahabu katika fainali ya kuteleza kwenye mteremko ya Olimpiki
Su Yiming akishangilia baada ya mchezo tarehe 18, Feburari. (Picha/Xinhua)

LIVIGNO — Katika fainali ya mchezo wa kuteleza kwenye theluji kwenye mteremko kwa ubao kwa wanaume (snowboard men's slopestyle) iliyofanyika tarehe 18 mjini Livigno, Italia, kwenye Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Milan-Cortina, mchezaji wa China Su Yiming amefanikiwa kutwaa ubingwa.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha