Lugha Nyingine
Su Yiming anyakua Dhahabu katika fainali ya kuteleza kwenye mteremko ya Olimpiki (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 19, 2026
![]() |
| Su Yiming akishangilia kwenye mchezo tarehe 18, Feburari. (Picha/Xinhua) |
LIVIGNO — Katika fainali ya mchezo wa kuteleza kwenye theluji kwenye mteremko kwa ubao kwa wanaume (snowboard men's slopestyle) iliyofanyika tarehe 18 mjini Livigno, Italia, kwenye Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Milan-Cortina, mchezaji wa China Su Yiming amefanikiwa kutwaa ubingwa.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




