Lugha Nyingine
Kitengo cha kwanza cha kituo cha kuzalisha umeme kwa nishati ya nyuklia cha Taipingling chaanza upakiaji wa nyuklia katika mkoa wa Guangdong, China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 26, 2025
![]() |
| Wahandisi wanafanya maandalizi ya upakiaji wa nyuklia katika kituo cha kuzalisha umeme kwa nyuklia cha Taipingling, mkoa wa Guangdong, Kusini mwa China, Desemba 23, 2025. (Xinhua/Mao Siqian) |
Upakiaji wa nyuklia kwa kitengo cha kwanza cha kituo cha kuzalisha umeme kwa nyuklia cha Taipingling wa Kundi la Nishati ya Nyuklia la China (CGN) ulianza Jumatano mkoani Guangdong.
Kitengo hicho kinatumia teknolojia ya Hualong 1, ambayo ni muundo wa kizazi cha tatu wa mtambo wa nyuklia ulioendelezwa nchini China. Huu ni mradi wa kwanza wa Hualong 1 katika Eneo la Ghuba Kuu ya Guangdong–Hong Kong–Macao.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




