Lugha Nyingine
Kitengo cha kwanza cha kituo cha kuzalisha umeme kwa nishati ya nyuklia cha Taipingling chaanza upakiaji wa nyuklia katika mkoa wa Guangdong, China (6)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 26, 2025
![]() |
| Picha hii inaonyesha Kitengo cha Kwanza cha kituo cha kuzalisha umeme kwa nyuklia cha Taipingling, mkoa wa Guangdong, Kusini mwa China, Septemba 18, 2025. (Picha na Ke Yongchu/Xinhua) |
Upakiaji wa nyuklia kwa kitengo cha kwanza cha kituo cha kuzalisha umeme kwa nyuklia cha Taipingling wa Kundi la Nishati ya Nyuklia la China (CGN) ulianza Jumatano mkoani Guangdong.
Kitengo hicho kinatumia teknolojia ya Hualong 1, ambayo ni muundo wa kizazi cha tatu wa mtambo wa nyuklia ulioendelezwa nchini China. Huu ni mradi wa kwanza wa Hualong 1 katika Eneo la Ghuba Kuu ya Guangdong–Hong Kong–Macao.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




