Maadhimisho ya miaka 76 tangu kuanzishwa kwa Jamhuri ya Watu wa China yafanyika kwa njia mbalimbali kote China (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 02, 2025
Maadhimisho ya miaka 76 tangu kuanzishwa kwa Jamhuri ya Watu wa China yafanyika kwa njia mbalimbali kote China
Watu wakihudhuria hafla ya kupandisha bendera mjini Shijiazhuang, Mkoa wa Hebei, kaskazini mwa China, Oktoba 1, 2025. (Picha na Liang Zidong/Xinhua)

Maadhimisho ya miaka 76 tangu kuanzishwa kwa Jamhuri ya Watu wa China yamefanyika jana Jumatano, Oktoba Mosi kwa njia mbalimbali katika sehemu mbalimbali kote China. China huadhimisha maadhimisho hayo ambayo kwa kawaida huambatana na likizo ndefu ya Siku ya Taifa ya China kila mwaka Oktoba Mosi.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha