Maadhimisho ya miaka 76 tangu kuanzishwa kwa Jamhuri ya Watu wa China yafanyika kwa njia mbalimbali kote China (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 02, 2025
Maadhimisho ya miaka 76 tangu kuanzishwa kwa Jamhuri ya Watu wa China yafanyika kwa njia mbalimbali kote China
Picha ya droni iliyopigwa Oktoba 1, 2025 ikionyesha watu wakiburudika kwenye eneo la watembea kwa miguu ambalo liliwahi kuwa daraja la reli mjini Harbin, Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini mashariki mwa China. (Xinhua/Zhang Tao)

Maadhimisho ya miaka 76 tangu kuanzishwa kwa Jamhuri ya Watu wa China yamefanyika jana Jumatano, Oktoba Mosi kwa njia mbalimbali katika sehemu mbalimbali kote China. China huadhimisha maadhimisho hayo ambayo kwa kawaida huambatana na likizo ndefu ya Siku ya Taifa ya China kila mwaka Oktoba Mosi.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha