Barabara Kuu ya Sangzhi-Longshan katika Mkoa wa Hunan, China yafunguliwa kwa matumizi (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 30, 2025
Barabara Kuu ya Sangzhi-Longshan katika Mkoa wa Hunan, China yafunguliwa kwa matumizi
Picha iliyopigwa Septemba 29, 2025 ikionyesha gari likiendeshwa kwenye barabara kuu ya Sangzhi-Longshan katika Mkoa wa Hunan, katikati mwa China. (Xinhua/Chen Sihan)

Barabara Kuu ya Sangzhi-Longshan, katika Wilaya ya Sangzhi, Mkoa wa Hunan, katikati mwa China imefunguliwa rasmi kwa matumizi jana Jumatatu. Barabara hiyo yenye urefu wa kilomita takriban 61.5, inaunganisha wilaya hiyo ya Sangzhi ya Zhangjiajie na Wilaya ya Longshan katika eneo linalojiendesha la makabila ya Watujia na Wamiao la Xiangxi, Mkoa wa Hunan, katikati mwa China.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha