Barabara Kuu ya Sangzhi-Longshan katika Mkoa wa Hunan, China yafunguliwa kwa matumizi (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 30, 2025
Barabara Kuu ya Sangzhi-Longshan katika Mkoa wa Hunan, China yafunguliwa kwa matumizi
Mfanyakazi (kushoto) akimwongoza dereva kwenye geti la ushuru wa barabara kwenye barabara kuu ya Sangzhi-Longshan katika Wilaya ya Sangzhi, Mkoa wa Hunan, katikati mwa China, Septemba 29, 2025. (Xinhua/Chen Sihan)

Barabara Kuu ya Sangzhi-Longshan, katika Wilaya ya Sangzhi, Mkoa wa Hunan, katikati mwa China imefunguliwa rasmi kwa matumizi jana Jumatatu. Barabara hiyo yenye urefu wa kilomita takriban 61.5, inaunganisha wilaya hiyo ya Sangzhi ya Zhangjiajie na Wilaya ya Longshan katika eneo linalojiendesha la makabila ya Watujia na Wamiao la Xiangxi, Mkoa wa Hunan, katikati mwa China.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha