Askri Polisi wa Pwani ya China wafanya doria na utekelezaji wa sheria kwenye Bahari ya Kusini ya China (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 26, 2025
Askri Polisi wa Pwani ya China wafanya doria na utekelezaji wa sheria kwenye Bahari ya Kusini ya China
Askari Polisi wa utekelezaji wa sheria aliyepanda chombo cha Huayang cha Askari Polisi wa Pwani ya China akifuatilia chombo cha kigeni kinachoingia ndani ya bahari kinyume cha sheria karibu na Kisiwa cha Ren'ai Jiao cha China, Agosti 26, 2025. (Xinhua/Xu Hongyan)

BAHARI YA KUSINI YA CHINA – Kikosi cha Idara ya Tano ya Askari Polisi wa Pwani ya China (CCG) hivi karibuni kilifanya doria na utekelezaji wa sheria kwenye bahari karibu na Kisiwa cha Ren'ai Jiao cha China. Shughuli za doria na utekelezaji wa sheria za CCG zimedumisha usalama wa baharini na kulinda mamlaka ya mpaka, haki na maslahi ya bahari ya China katika eneo hilo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha