

Lugha Nyingine
Askri Polisi wa Pwani ya China wafanya doria na utekelezaji wa sheria kwenye Bahari ya Kusini ya China (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 26, 2025
BAHARI YA KUSINI YA CHINA – Kikosi cha Idara ya Tano ya Askari Polisi wa Pwani ya China (CCG) hivi karibuni kilifanya doria na utekelezaji wa sheria kwenye bahari karibu na Kisiwa cha Ren'ai Jiao cha China. Shughuli za doria na utekelezaji wa sheria za CCG zimedumisha usalama wa baharini na kulinda mamlaka ya mpaka, haki na maslahi ya bahari ya China katika eneo hilo.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma