China yatekeleza mpango wa dharura wa kukabiliana na mafuriko mikoani Zhejiang na Fujian

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 09, 2025
China yatekeleza mpango wa dharura wa kukabiliana na mafuriko mikoani Zhejiang na Fujian
Picha hii iliyopigwa tarehe 6 Julai 2025 ikionyesha meli zikitia nanga kwenye bandari ili kujikinga na kimbunga kinachokaribia Mji wa Fuzhou, Mkoa wa Fujian, kusini mashariki mwa China. (Picha na Wang Wangwang/Xinhua)

Wizara ya Rasilimali za Maji ya China Jumatatu imetekeleza mpango wa dharura wa ngazi ya IV kwa kukabiliana na mafuriko katika mikoa ya Zhejiang na Fujian mashariki mwa China ili kuepuka na kimbunga Danas kinachowadia.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha