

Lugha Nyingine
China yatekeleza mpango wa dharura wa kukabiliana na mafuriko mikoani Zhejiang na Fujian (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 09, 2025
![]() |
Ofisa wa Polisi akifanya kazi na wafanyakazi kwenye meli kukiihifadhi meli kwenye Gati la Sanjiangkou huko Taizhou, Mkoa wa Zhejiang, mashariki mwa China. (Yu Yuexiang/Xinhua) |
Wizara ya Rasilimali za Maji ya China Jumatatu imetekeleza mpango wa dharura wa ngazi ya IV kwa kukabiliana na mafuriko katika mikoa ya Zhejiang na Fujian mashariki mwa China ili kuepuka na kimbunga Danas kinachowadia.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma