

Lugha Nyingine
Maonyesho ya 5 ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China yafunguliwa mjini Haikou (6)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 18, 2025
![]() |
Watu wakitembele Maonyesho ya 5 ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China (CICPE) mjini Haikou, Mkoani Hainan, kusini mwa China, Aprili 17, 2025. (Xinhua/Zhang Liyun) |
Maonyesho ya 5 ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China (CICPE) yanayofanyika mjini Haikou, Mkoani Hainan, kusini mwa China yamefungua kwa umma kuanzia jana Alhamisi, yakionesha bidhaa na huduma katika sekta kama vile teknolojia, afya, utamaduni, utalii na michezo.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma