Maonyesho ya 5 ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China yafunguliwa mjini Haikou (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 18, 2025
Maonyesho ya 5 ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China yafunguliwa mjini Haikou
Mtembeleaji akionyesheana ishara na roboti kwenye Maonyesho ya Tano ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China (CICPE) mjini Haikou, Mkoani Hainan, kusini mwa China, Aprili 17, 2025. (Xinhua/Sun Xiaotian)

Maonyesho ya 5 ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China (CICPE) yanayofanyika mjini Haikou, Mkoani Hainan, kusini mwa China yamefungua kwa umma kuanzia jana Alhamisi, yakionesha bidhaa na huduma katika sekta kama vile teknolojia, afya, utamaduni, utalii na michezo. 

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha