Hospitali ya Urafiki ya Sinozam yatoa huduma ya matibabu nchini Zambia (8)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 31, 2025
Hospitali ya Urafiki ya Sinozam yatoa huduma ya matibabu nchini Zambia
Picha hii iliyopigwa Machi 28, 2025 ikionyesha mwonekano wa Hospitali ya Urafiki ya Sinozam iliyoko Kitwe, Jimbo la Copperbelt nchini Zambia. (Xinhua/Han Xu)

Hospitali ya Urafiki ya Sinozam ni mradi muhimu wa uwajibikaji kijamii wa Kampuni ya Kundi la Uchimbaji Madini ya Chuma la China Nonferrous iliyoko nchini Zambia. Katika miaka 25 iliyopita, madaktari wa China na Zambia wamekuwa wakifanya kazi pamoja kutoa huduma za matibabu nchini Zambia na wamesifiwa na watu wengi wa jamii ya wakazi wa huko.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha