

Lugha Nyingine
Hospitali ya Urafiki ya Sinozam yatoa huduma ya matibabu nchini Zambia (7)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 31, 2025
![]() |
Daktari wa Zambia akifanya majaribio kwenye maabara ya Hospitali ya Urafiki ya Sinozam mjini Kitwe, Jimbo la Copperbelt nchini Zambia, tarehe 28 Machi 2025. (Xinhua/Han Xu) |
Hospitali ya Urafiki ya Sinozam ni mradi muhimu wa uwajibikaji kijamii wa Kampuni ya Kundi la Uchimbaji Madini ya Chuma la China Nonferrous iliyoko nchini Zambia. Katika miaka 25 iliyopita, madaktari wa China na Zambia wamekuwa wakifanya kazi pamoja kutoa huduma za matibabu nchini Zambia na wamesifiwa na watu wengi wa jamii ya wakazi wa huko.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma