Idadi ya vifo yaongezeka hadi 1,700 kutokana na tetemeko kubwa la ardhi nchini Myanmar (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 31, 2025
Idadi ya vifo yaongezeka hadi 1,700 kutokana na tetemeko kubwa la ardhi nchini Myanmar
Waokoaji wakijiandaa kufanya utafutaji na uokoaji baada ya tetemeko la ardhi kutokea Mandalay, Myanmar, Machi 30, 2025. (Picha na Myo Kyaw Soe/Xinhua)

YANGON - Watu Takriban 1,700 wamefariki dunia, 3,400 wamejeruhiwa, na 300 bado hawajapatikana baada ya tetemeko kubwa la ardhi kutokea nchini Myanmar, Kamati ya Mambo ya Utawala ya Serikali ya Myanmar imesema jana Jumapili. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha