

Lugha Nyingine
Idadi ya vifo yaongezeka hadi 1,700 kutokana na tetemeko kubwa la ardhi nchini Myanmar (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 31, 2025
![]() |
Waokoaji wakijadili mipango ya uokoaji baada ya tetemeko la ardhi huko Mandalay, Myanmar, Machi 30, 2025. (Timu ya Uokoaji ya Blue Sky/kupitia Xinhua |
YANGON - Watu Takriban 1,700 wamefariki dunia, 3,400 wamejeruhiwa, na 300 bado hawajapatikana baada ya tetemeko kubwa la ardhi kutokea nchini Myanmar, Kamati ya Mambo ya Utawala ya Serikali ya Myanmar imesema jana Jumapili.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma