Utalii wa majira ya mchipuko waonyesha uhai wa uchumi nchini China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 26, 2025
Utalii wa majira ya mchipuko waonyesha uhai wa uchumi nchini China
Watalii wakipiga picha katika Kijiji cha Kabila la Wadong cha Zhaoxing cha Wilaya ya Liping, Eneo linalojiendesha la Makabila ya Wamiao na Wadong la Qiandongnan, Mkoa wa Guizhou, kusini-magharibi mwa China, Machi 17, 2025. (Xinhua/Yang Wenbin)

BEIJING - Wakiwa na shauku ya kuwa huru kutoka kwenye vizuizi vya majira ya baridi, watu wa China wanakumbatia shughuli mbalimbali za majira ya mchipuko huku majira hayo yakitoa fursa zisizo na kikomo za kufurahia uzuri wa mazingira ya asili.

Kadiri halijoto inavyozidi kuongezeka, shughuli zikiwemo za kutazama mandhari, kufurahia maua, kuchuma majani ya chai, na kwenda sokoni zimechochea "uchumi wa majira ya mchipuko" unaostawi.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha