

Lugha Nyingine
Utalii wa majira ya mchipuko waonyesha uhai wa uchumi nchini China (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 26, 2025
![]() |
Watalii wakitembelea Kijiji cha Liuke cha Mji wa Boao mjini Qionghai, Mkoa wa Hainan, kusini mwa China, Machi 20, 2025. (Xinhua/Guo Cheng) |
BEIJING - Wakiwa na shauku ya kuwa huru kutoka kwenye vizuizi vya majira ya baridi, watu wa China wanakumbatia shughuli mbalimbali za majira ya mchipuko huku majira hayo yakitoa fursa zisizo na kikomo za kufurahia uzuri wa mazingira ya asili.
Kadiri halijoto inavyozidi kuongezeka, shughuli zikiwemo za kutazama mandhari, kufurahia maua, kuchuma majani ya chai, na kwenda sokoni zimechochea "uchumi wa majira ya mchipuko" unaostawi.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma