Jukwaa la Ngazi ya Juu la Maendeleo la China Mwaka 2025 lafunguliwa Beijing

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 24, 2025
Jukwaa la Ngazi ya Juu la Maendeleo la China Mwaka 2025 lafunguliwa Beijing
Mwenyekiti Mwenza wa Jukwaa la Ngazi ya Juu la Maendeleo la China (CDF) Mwaka 2025 ambaye pia ni Meneja Mkuu na Mkurugenzi Mtendaji wa Siemens AG, Roland Busch akizungumza kwenye ufunguzi wa CDF 2025 mjini Beijing, , Machi 23, 2025. (Xinhua/Li Xin)

Jukwaa la Maendeleo la China Mwaka 2025 limepangwa kufanyika kwa siku mbili kuanzia Tarehe 23 hadi 24, Machi, likiwa na kaulimbiu ya "Kufungua Nguvu ya Maendeleo kwa Ongezeko Tulivu la Uchumi Duniani".

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha