Jukwaa la Ngazi ya Juu la Maendeleo la China Mwaka 2025 lafunguliwa Beijing (8)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 24, 2025
Jukwaa la Ngazi ya Juu la Maendeleo la China Mwaka 2025 lafunguliwa Beijing
Washiriki wakishiriki kwenye Jukwaa la Ngazi ya Juu la Maendeleo la China (CDF) Mwaka 2025 mjini Beijing, Machi 23, 2025. (Xinhua/Li Xin)

Jukwaa la Maendeleo la China Mwaka 2025 limepangwa kufanyika kwa siku mbili kuanzia Tarehe 23 hadi 24, Machi, likiwa na kaulimbiu ya "Kufungua Nguvu ya Maendeleo kwa Ongezeko Tulivu la Uchumi Duniani".

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha