

Lugha Nyingine
Maonyesho ya Vyombo vya Umeme Nyumbani na Vifaa vya Kielektroniki Duniani Mwaka 2025 yaanza mjini Shanghai, China (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 21, 2025
Yakiwa na kaulimbiu ya "AI kwa Wote", Maonyesho ya Vyombo vya Umeme Nyumbani na Vifaa vya Kielektroniki Duniani Mwaka 2025 (AWE2025) yameanza mjini Shanghai, mashariki mwa China jana Alhamisi. Kampuni zaidi ya elfu moja kutoka sehemu mbalimbali duniani zimekusanyika kwenye maonyesho hayo ili kuonyesha bidhaa za uvumbuzi wao mpya.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma