Maonyesho ya Vyombo vya Umeme Nyumbani na Vifaa vya Kielektroniki Duniani Mwaka 2025 yaanza mjini Shanghai, China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 21, 2025
Maonyesho ya Vyombo vya Umeme Nyumbani na Vifaa vya Kielektroniki Duniani Mwaka 2025 yaanza mjini Shanghai, China
Mfanyakazi akielezea kiyoyozi kwa mtembeleaji kwenye Maonyesho ya Vyombo vya Umeme Nyumbani na Vifaa vya Kielektroniki Duniani Mwaka 2025 (AWE2025) mjini Shanghai, mashariki mwa China, Machi 20, 2025. (Xinhua/Fang Zhe)

Yakiwa na kaulimbiu ya "AI kwa Wote", Maonyesho ya Vyombo vya Umeme Nyumbani na Vifaa vya Kielektroniki Duniani Mwaka 2025 (AWE2025) yameanza mjini Shanghai, mashariki mwa China jana Alhamisi. Kampuni zaidi ya elfu moja kutoka sehemu mbalimbali duniani zimekusanyika kwenye maonyesho hayo ili kuonyesha bidhaa za uvumbuzi wao mpya.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha