

Lugha Nyingine
China yarusha satalaiti nane mpya kwenda anga ya juu (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 18, 2025
![]() |
Roketi ya uchukuzi ya CERES-1 iliyobeba satalaiti nane ikiruka kutoka Kituo cha Kurushia Satalaiti cha Jiuquan, kaskazini-magharibi mwa China, Machi 17, 2025. (Picha na Wang Jiangbo/Xinhua) |
JIUQUAN - China imerusha roketi ya uchukuzi ya CERES-1, ikiweka satalaiti nane kwenye anga ya juu, ambapo roketi hiyo imerushuwa majira saa 10:07 jioni (kwa saa za Beijing) jana Jumatatu kutoka Kituo cha Kurushia Satalaiti cha Jiuquan kaskazini-magharibi mwa nchi hiyo na kutuma satalaiti hizo za Yunyao-1 55-60 kwenye obiti iliyokuwa imepangwa mapema.
Roketi hiyo pia imerusha satalaiti za AIRSAT 06 na 07.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma