China yarusha satalaiti nane mpya kwenda anga ya juu (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 18, 2025
China yarusha satalaiti nane mpya kwenda anga ya juu
Roketi ya uchukuzi ya CERES-1 iliyobeba satalaiti nane ikiruka kutoka Kituo cha Kurushia Satalaiti cha Jiuquan, kaskazini-magharibi mwa China, Machi 17, 2025. (Picha na Wang Jiangbo/Xinhua)

JIUQUAN - China imerusha roketi ya uchukuzi ya CERES-1, ikiweka satalaiti nane kwenye anga ya juu, ambapo roketi hiyo imerushuwa majira saa 10:07 jioni (kwa saa za Beijing) jana Jumatatu kutoka Kituo cha Kurushia Satalaiti cha Jiuquan kaskazini-magharibi mwa nchi hiyo na kutuma satalaiti hizo za Yunyao-1 55-60 kwenye obiti iliyokuwa imepangwa mapema.

Roketi hiyo pia imerusha satalaiti za AIRSAT 06 na 07. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha