Roboti za muundo wa binadamu za mfululizo wa "Chucai" zaonyeshwa Wuhan, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 06, 2025
Roboti za muundo wa binadamu za mfululizo wa
Roboti ya muundo wa binadamu ikionyesha uwezo wake katika kuvuka vizuizi mjini Wuhan, Mkoa wa Hubei, katikati mwa China, Februari 5, 2025. (Xinhua/Xiao Yijiu)

Roboti kumi za muundo wa binadamu za mfululizo wa "Chucai" zimeonyeshwa kwenye mkutano unaofanyika mjini Wuhan, Mkoa wa Hubei, katikati mwa China zikionyesha uwezo mbalimbali. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha