

Lugha Nyingine
Roboti za muundo wa binadamu za mfululizo wa "Chucai" zaonyeshwa Wuhan, China (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 06, 2025
![]() |
Mshiriki wa mkutano akitaza roboti ya muundo wa binadamu mjini Wuhan, Mkoa wa Hubei, katikati mwa China, Februari 5, 2025. (Xinhua/Xiao Yijiu) |
Roboti kumi za muundo wa binadamu za mfululizo wa "Chucai" zimeonyeshwa kwenye mkutano unaofanyika mjini Wuhan, Mkoa wa Hubei, katikati mwa China zikionyesha uwezo mbalimbali.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma