

Lugha Nyingine
Meli ya utafiti wa kisayansi na utafiti wa mabaki ya kale kwenye bahari ya kina kirefu iliyoundwa kwa kujitegemea na China yazinduliwa rasmi
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 30, 2024
Meli hiyo yenye urefu wa mita 104 iliyosanifiwa na kuundwa na China kwa kujitegemea ina uwezo wa kubeba karibu tani 10,000, uhimilivu wa kusafiri maili 15,000 za baharini na uwezo wa kubeba wafanyakazi 80. Na kwenye sehemu za mbele na nyuma za meli hiyo, vimewekwa vifaa vyenye uwezo wa kupasua barafu kwa mwelekeo wa pande mbili.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma