Katika picha: Eneo la uchumi wa anga ya chini kwenye Maonyesho ya Ndege ya China (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 15, 2024
Katika picha: Eneo la uchumi wa anga ya chini kwenye Maonyesho ya Ndege ya China
Picha hii iliyopigwa Novemba 13, 2024 ikionyesha ndege ya ZG-ONE inayotumia umeme ya kupaa na kutua wima (eVTOL) katika eneo la uchumi wa anga ya chini la Maonyesho ya Ndege ya China mjini Zhuhai, Mkoa wa Guangdong, Kusini mwa China. (Xinhua/Lu Hanxin)

Eneo la uchumi wa anga ya chini limetengwa kwenye Maonyesho ya 15 ya Kimataifa ya Usafiri wa Anga na Vyombo vya Anga ya juu ya China, ambayo pia yanajulikana kwa jina la Maonyesho ya Ndege ya China, mjini Zhuhai, Mkoa wa Guangdong, Kusini mwa China, likionyesha bidhaa husika na matumizi yake. 

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha