

Lugha Nyingine
Katika picha: Eneo la uchumi wa anga ya chini kwenye Maonyesho ya Ndege ya China (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 15, 2024
Eneo la uchumi wa anga ya chini limetengwa kwenye Maonyesho ya 15 ya Kimataifa ya Usafiri wa Anga na Vyombo vya Anga ya juu ya China, ambayo pia yanajulikana kwa jina la Maonyesho ya Ndege ya China, mjini Zhuhai, Mkoa wa Guangdong, Kusini mwa China, likionyesha bidhaa husika na matumizi yake.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma