

Lugha Nyingine
Maonyesho ya Uchumi wa Baharini ya China (CMEE) Mwaka 2024 yaanza mjini Shenzhen (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 01, 2024
![]() |
Watu wakitembelea Maonyesho ya Uchumi wa Baharini ya China (CMEE) Mwaka 2024 mjini Shenzhen, Mkoani Guangdong, Kusini mwa China, tarehe 31 Oktoba 2024. (Xinhua/Liang Xu) |
Maonyesho ya 2024 ya Uchumi wa Baharini ya China (CMEE) yameanza rasmi mjini Shenzhen, Mkoani Guangdong, Kusini mwa China siku ya Alhamisi, yakionyesha kwa pande zote maendeleo ya uchumi wa baharini ya China, na uvumbuzi wa kisayansi na kiteknolojia wa sekta hiyo.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma