Maonyesho ya Uchumi wa Baharini ya China (CMEE) Mwaka 2024 yaanza mjini Shenzhen (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 01, 2024
Maonyesho ya Uchumi wa Baharini ya China (CMEE) Mwaka 2024 yaanza mjini Shenzhen
Watu wakifahamishwa kuhusu roboti ya chini ya maji kwenye Maonyesho ya Uchumi wa Baharini ya China (CMEE) Mwaka 2024 mjini Shenzhen, Mkoani Guangdong, Kusini mwa China mnamo Oktoba 31, 2024. (Xinhua/Liang Xu)

Maonyesho ya 2024 ya Uchumi wa Baharini ya China (CMEE) yameanza rasmi mjini Shenzhen, Mkoani Guangdong, Kusini mwa China siku ya Alhamisi, yakionyesha kwa pande zote maendeleo ya uchumi wa baharini ya China, na uvumbuzi wa kisayansi na kiteknolojia wa sekta hiyo. 

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha