

Lugha Nyingine
Lambo la Ziwa Doting la China lililobomoka kutokana na mafuriko ya mvua kubwa lazibwa (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 09, 2024
![]() |
Timu ya uokoaji ikifanya kazi ya kuziba sehemu iliyobomoka ya lambo la Ziwa Dongting huko Tuanzhouwan, Eneo la Huarong, Mji wa Yueyang, Mkoa wa Hunan, China, Julai 8. (Xinhua /Chen Sihan) |
Jumatatu, Julai 8 saa 4:31 usiku kwa saa za Beijing, kazi ya kuziba lambo la Ziwa Dongting sehemu ya Tuanzhouyuan lililobomoka kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha na kusababisha mafuriko katika Wilaya ya Huarong, Mkoa wa Hunan wa China ilikuwa imekamilika rasmi.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma