

Lugha Nyingine
Lambo la Ziwa Doting la China lililobomoka kutokana na mafuriko ya mvua kubwa lazibwa (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 09, 2024
![]() |
Waokoaji wakifanya kazi ya kuziba sehemu ya lambo la Ziwa Dongting iliyobomoka, Tarehe 8, Julai. (Picha na Chen Zhenhai/Xinhua) |
Jumatatu, Julai 8 saa 4:31 usiku kwa saa za Beijing, kazi ya kuziba lambo la Ziwa Dongting sehemu ya Tuanzhouyuan lililobomoka kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha na kusababisha mafuriko katika Wilaya ya Huarong, Mkoa wa Hunan wa China ilikuwa imekamilika rasmi.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma