Awamu ya 3 ya Maonyesho ya 135 ya Kimataifa ya Uagizaji na Uuzaji Nje Bidhaa ya China yaanza huku Kampuni 11,000 kushiriki (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 02, 2024
Awamu ya 3 ya Maonyesho ya 135 ya Kimataifa ya Uagizaji na Uuzaji Nje Bidhaa ya China yaanza huku Kampuni 11,000 kushiriki
Mwonyeshaji bidhaa akizungumza na mnunuzi wa kigeni kwenye awamu ya 3 ya Maonyesho ya 135 ya Canton katika Mji wa Guangzhou, Mkoa wa Guangdong, Kusini mwa China, Mei 1, 2024. (Xinhua/Hong Zehua)

Awamu ya 3 ya Maonyesho ya 135 ya Kimataifa ya Uagizaji na Uuzaji Nje Bidhaa ya China ya siku tano imeanza siku ya Jumatano, Mei 1 katika Mji wa Guangzhou, Mkoa wa Guangdong, Kusini mwa China huku kampuni 11, 000 zinashiriki.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha