Awamu ya 3 ya Maonyesho ya 135 ya Kimataifa ya Uagizaji na Uuzaji Nje Bidhaa ya China yaanza huku Kampuni 11,000 kushiriki (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 02, 2024
Awamu ya 3 ya Maonyesho ya 135 ya Kimataifa ya Uagizaji na Uuzaji Nje Bidhaa ya China yaanza huku Kampuni 11,000 kushiriki
Picha hii iliyopigwa Mei 1, 2024 ikionyesha geti la kuingia la ukumbi wa Maonyesho ya 135 ya Canton katika Mji wa Guangzhou, Mkoa wa Guangdong, Kusini mwa China. (Xinhua/Hong Zehua)

Awamu ya 3 ya Maonyesho ya 135 ya Kimataifa ya Uagizaji na Uuzaji Nje Bidhaa ya China ya siku tano imeanza siku ya Jumatano, Mei 1 katika Mji wa Guangzhou, Mkoa wa Guangdong, Kusini mwa China huku kampuni 11, 000 zinashiriki.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha