Mkutano wa Tenolojia ya 5G + Intaneti ya Viwandani wa China waanza mjini Wuhan (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 21, 2023
Mkutano wa Tenolojia ya 5G + Intaneti ya Viwandani wa China waanza mjini Wuhan
Watu wakitembelea maonyesho ya mafanikio ya uvumbuzi yanayofanyika wakati wa Mkutano wa Tenolojia ya 5G + Intaneti ya Viwandani wa China Mwaka 2023 huko Wuhan, Mkoa wa Hubei, Katikati mwa China, Novemba 20, 2023. (Xinhua/Wu Zhizun)

WUHAN - Mkutano wa Tenolojia ya 5G + Intaneti ya Viwandani wa China kwa Mwaka 2023 umefunguliwa mjini Wuhan katika Mkoa wa Hubei katikati mwa China ukiwa na shughuli mbili kuu za mada na mikutano karibu 20 inayohusiana. Pia mkutano huo utakuwa na maonyesho juu ya mafanikio ya uvumbuzi wa “Teknolojia ya 5G + inteneti ya viwandani".

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha