Jumba la Makumbusho ya Teknolojia ya Intaneti na Sayansi Duniani lafunguliwa Wuzhen, China (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 08, 2023
Jumba la Makumbusho ya Teknolojia ya Intaneti na Sayansi Duniani lafunguliwa Wuzhen, China
Watazamaji wakitazama roboti akicheza kwenye ukumbi wa Jumba la Makumbusho ya Teknolojia ya Intaneti na Sayansi Duniani tarehe 7, Novemba.

Jumba kubwa la Makumbusho ya Teknolojia ya Intaneti na Sayansi Duniani, ambayo ni makumbusho kubwa sana ya sayansi na teknolojia yenye maudhui ya intaneti, limefunguliwa rasmi katika Mji wa Wuzhen ulioko Mkoa wa Zhejiang, China siku ya Jumanne, November 7. Makumbusho hiyo inachukua eneo lenye ukubwa wa mita za mraba 43,000 hivi, likionesha teknolojia muhimu za intaneti duniani, mambo muhimu na wahusika muhimu wa intaneti duniani, na kuelezea mchakato wa maendeleo ya intaneti. (Picha na Huang Zongzhi/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha