Jumba la Makumbusho ya Teknolojia ya Intaneti na Sayansi Duniani lafunguliwa Wuzhen, China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 08, 2023
Jumba la Makumbusho ya Teknolojia ya Intaneti na Sayansi Duniani lafunguliwa Wuzhen, China
Picha iliyopigwa tarehe 7, Novemba ikionesha eneo la maonyesho lenye kaulimbiu ya “Mitandao ya Intaneti jumuiya yenye mustakabali wa pamoja wa binadamu” kwenye Jumba la Makumbusho ya Teknolojia ya Intaneti na Sayansi Duniani.

Jumba kubwa la Makumbusho ya Teknolojia ya Intaneti na Sayansi Duniani, ambayo ni makumbusho kubwa sana ya sayansi na teknolojia yenye maudhui ya intaneti, limefunguliwa rasmi katika Mji wa Wuzhen ulioko Mkoa wa Zhejiang, China siku ya Jumanne, November 7. Makumbusho hiyo inachukua eneo lenye ukubwa wa mita za mraba 43,000 hivi, likionesha teknolojia muhimu za intaneti duniani, mambo muhimu na wahusika muhimu wa intaneti duniani, na kuelezea mchakato wa maendeleo ya intaneti. (Picha na Huang Zongzhi/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha