

Lugha Nyingine
Picha: Roboti zenye teknolojia za Akili Bandia (AI) kwenye Maonesho ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 08, 2023
![]() |
Mtembeleaji wa maonyesho akijaribu kucheza “mchezo wa golf kwa kuchangamana na roboti iliyo katka skrini ya kompyuta kwenye eneo la mabanda ya teknolojia na vifaa la Maonesho ya 6 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE), tarehe 7, Novemba. |
Mabanda yanayoonesha teknolojia za akili bandia (AI) kwenye eneo la teknolojia na vifaa la Maonesho ya 6 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) yamevutia watembeleaji wengi wa maonyesho wakitaka kupata uzoefu wa matumizi na kuchangamana na roboti, Novemba 7, 2023. (Picha na Zhang Jiansong/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma