Picha: Roboti zenye teknolojia za Akili Bandia (AI) kwenye Maonesho ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 08, 2023
Picha: Roboti zenye teknolojia za Akili Bandia (AI) kwenye Maonesho ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE)
Mtembeleaji wa maonyesho akiwa kwenye jimu kwa kuchangamana na kocha kupitia skrini ya mawasiliano ya kompyuta kwenye eneo la mabanda ya teknolojia na vifaa la Maonesho ya 6 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE), tarehe 7, Novemba.

Mabanda yanayoonesha teknolojia za akili bandia (AI) kwenye eneo la teknolojia na vifaa la Maonesho ya 6 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) yamevutia watembeleaji wengi wa maonyesho wakitaka kupata uzoefu wa matumizi na kuchangamana na roboti, Novemba 7, 2023. (Picha na Zhang Jiansong/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha