Teknolojia za hali ya juu na bidhaa mpya zaonekana kwa mara ya kwanza kwenye Maonyesho ya 6 ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) (9)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 06, 2023
Teknolojia za hali ya juu na bidhaa mpya zaonekana kwa mara ya kwanza kwenye Maonyesho ya 6 ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE)
Picha hii iliyopigwa Novemba 5, 2023 ikionyesha gari la Mercedes aina ya Atego 4x4 linaloonekana kwenye Maonyesho ya 6 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) mjini Shanghai, Mashariki mwa China. (Xinhua/Xin Mengchen)

Maonyesho ya 6 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) yameanza kufanyika mjini Shanghai, Mashariki mwa China jana siku ya Jumapili, huku teknolojia nyingi za hali ya juu na bidhaa mpya zikionyeshwa kwa mara ya kwanza kwenye maonyesho hayo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha