

Lugha Nyingine
Teknolojia za hali ya juu na bidhaa mpya zaonekana kwa mara ya kwanza kwenye Maonyesho ya 6 ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) (10)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 06, 2023
![]() |
Picha hii iliyopigwa Novemba 5, 2023 ikionyesha gari la Mercedes aina ya Maybach S 580e sedan linaloonekana kwenye Maonyesho ya 6 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) mjini Shanghai, Mashariki mwa China. (Xinhua/Xin Mengchen) |
Maonyesho ya 6 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) yameanza kufanyika mjini Shanghai, Mashariki mwa China jana siku ya Jumapili, huku teknolojia nyingi za hali ya juu na bidhaa mpya zikionyeshwa kwa mara ya kwanza kwenye maonyesho hayo.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma