Baraza la 3 la Ushirikiano wa Kimataifa wa “Ukanda Mmoja, Njia Moja”(BRF)katika majira ya mpukutiko ya dhahabu (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 16, 2023
Baraza la 3 la Ushirikiano wa Kimataifa wa “Ukanda Mmoja, Njia Moja”(BRF)katika majira ya mpukutiko ya dhahabu
Picha hii iliyopigwa Tarehe 14 Oktoba kwenye sehemu iliyo karibu na mtaa wa Beichen wa eneo la Chaoyang la Beijing,ikionesha kivutio kilichoandaliwa kwa ajili ya Mkutano wa Baraza la 3 la Ushirikiano wa Kimataifa wa “Ukanda Mmoja, Njia Moja”(BRF).

Baraza la 3 la Ushirikiano wa Kimataifa wa “Ukanda Mmoja, Njia Moja”(BRF)utafanyika Beijing kuanzia Oktoba 17 hadi 18.  

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha