Baraza la 3 la Ushirikiano wa Kimataifa wa “Ukanda Mmoja, Njia Moja”(BRF)katika majira ya mpukutiko ya dhahabu (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 16, 2023
Baraza la 3 la Ushirikiano wa Kimataifa wa “Ukanda Mmoja, Njia Moja”(BRF)katika majira ya mpukutiko ya dhahabu
Picha hii iliyopigwa Tarehe 14 Oktoba kwenye sehemu iliyo karibu na Hoteli ya Wageni wa Taifa ya Diaoyutai ya Beijing, ikionesha kivutio kilichoandaliwa kwa ajili ya Baraza la 3 la Ushirikiano wa Kimataifa wa “Ukanda Mmoja, Njia Moja”(BRF). (Xinhua/Ren Chao)

Baraza la 3 la Ushirikiano wa Kimataifa wa “Ukanda Mmoja, Njia Moja”(BRF)utafanyika Beijing kuanzia Oktoba 17 hadi 18.  

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha