Maonyesho ya 23 ya Viwanda ya Kimataifa ya China yaanza mjini Shanghai (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 20, 2023
Maonyesho ya 23 ya Viwanda ya Kimataifa ya China yaanza mjini Shanghai
Watembeleaji wa maonyesho wakizungumza pembeni ya mashine ya kukunja vibao vinne kwenye Maonyesho ya 23 ya Viwanda ya Kimataifa ya China (CIIF) huko Shanghai, Mashariki mwa China, Septemba 19, 2023. (Xinhua/Fang Zhe)

Maonyesho hayo yameanza katika Mji wa Shanghai siku ya Jumanne, yakiwa na kaulimbiu ya "Uchumi wa Kidijitali na Uondoaji kaboni kwenye Viwanda."

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha